Je, onyo liende kwa yupi??

bacha mi atangulia..wewe akuta mimi kule...katibu wako ana majukumu meng so atacheklewa so if ur shap enaf u can mak t b4 hm.......hahahahh roy naenda kukusemema kwa m+++++!!!!!!!

Hapo tu ndo napokupendeaga Rose1980,huwa unajali sana shida zangu!basi we kaa mkao wa kula kabisa.........!kimya kimya Katibu asisikie.
 
Nimekusikia mkuu, nilikuwa natoa ushuhuda tu kiongozi!
Hapa umenena...actually umeongea mapointi ya nguvu....
bacha mi atangulia..wewe akuta mimi kule...katibu wako ana majukumu meng so atacheklewa so if ur shap enaf u can mak t b4 hm.......hahahahh roy naenda kukusemema kwa m+++++!!!!!!!
Rose fata sheria...halafu hili la kusemeana linatoka wapi tena??
Hapo tu ndo napokupendeaga Rose1980,huwa unajali sana shida zangu!basi we kaa mkao wa kula kabisa.........!kimya kimya Katibu asisikie.

Hapa sasa unaharibu.....wacha nitafute rungu langu nikushushue.........😡
 
Ukijua anamegwa jitahidi ajue kuwa Umegundua jambo hilo. Narudia, jitahidi ajue kuwa umefahamu. Halafu usije ukamuuliza jambo lolote. suala la kumtimua halitaamuliwa na wewe litaamuliwa na dhamiri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…