Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
Unachotafuta ni cheti kilichoandikwa 'digrii' siyo digrii yenyewe. Kama huwezi O' level digrii, ikiwa na maana ya content siyo kuiba mitihani au njia zingine za mkato, utawezaje?Kaka wasikukatishe tamaa. Foundation course ni nzuri sana hasa ukipata walimu wazuri wa kukusaidia. Ukiweza kupata wastan wa masomo yote 50% ujue utaweza kusoma degree. Haina shida kabisa hao wanaokushauri uachane na kusoma degree ni waongo. Wengi tu wamefanikiwa kwa njia hiyo hiyo ni bidii yako. Kuliko kukomaa na kurisiti wakati mitihani yenyewe kusahihisha ni bahati nasibu. Njia nyingine unaweza ukaanza na diploma kwanza kwa kuwa Certificate unayo, halafu utaanza degree moja kwa moja.