Kiyosaki i
Member
- Aug 12, 2021
- 18
- 11
[emoji120][emoji120]Akasome Tu Elimu Ipo Vizuri
Kasomee MZUMBE AU UDSM wako vyema mi naonaNina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwasasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu huria Tanzania),,,
naomba kupata ushauri Kama Ni suitable kwa sheria...... ikilinganishwa na anaesomea CAMPUS maana tunajua sheria inavitu vingi.
Ni miongoni mwa waliopata ajila mpya,,, kwaio Ni lazima Hadi miaka mitatu ipite ndio apte ruhusa ya kwenda Campus,,Kasomee MZUMBE AU UDSM wako vyema mi naona
OKAY POANi miongoni mwa waliopata ajila mpya,,, kwaio Ni lazima Hadi miaka mitatu ipite ndio apte ruhusa ya kwenda Campus,,
na anahitaji kuunganisha
Ajira gani?Ni miongoni mwa waliopata ajila mpya,,, kwaio Ni lazima Hadi miaka mitatu ipite ndio apte ruhusa ya kwenda Campus,,
na anahitaji kuunganisha
Ikiwemo mwabukusiMambo ya chuo fulani kudharauliwa ni ya kizamani sana, kuna mawakili wengi sana tena wazuri waliosoma OUT