Je pale Simba Kuna course ya Vurugu/ Fujo hufundishwa Kwa wachezaji, Mashabiki na viongozi

Je pale Simba Kuna course ya Vurugu/ Fujo hufundishwa Kwa wachezaji, Mashabiki na viongozi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi wangu

Tangu nianze tasnia ya uchambuzi hapa Tanzania...Kila nikiiona Simba naiona ipo kishari shari ( vita) sio Kwa viongozi, wachezaji na viongozi

Tuanze Kwa viongozi
Viongozi wa ukoloni Kuna mwaka waliibua hoja ya kukimbilia Burundi Baada ya kuona Yanga Wana peleka moto ligi kuu ( that was fujo decision)

Wachezaji ( kolo players)
Mwaka 2022 wachezaji Toka ukoloni wakiwa kwenye ligi ya kombe la wamama ( loser cup... shirikisho) waliwasha moto uwanjani pale Sauth Africa dhidi ya orando pirates... though walikandwa heavily

Mashabiki ( kolo fans)
Hawa jamaa ni product ya mwisho ya binadamu wenye ustaarabu[emoji23][emoji23] mwaka 2017 waliwahi kung'oa viti baada ya kukandwa heavily na Yanga
Mwaka 2023 walimpiga shabiki wa Yanga akiwa jukwaa lao. Mwaka huu wamewapiga viongozi wa pamba

NB: Je huoni kuwa Kuna course special makolo ( viongozi wachezaji na Mashabiki) wanafundishwa [emoji32][emoji32] kufanya fujo

1734286893937.jpg
 
Back
Top Bottom