Room 28 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,077 Reaction score 1,736 Jul 5, 2025 #1 Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye alitajwa na ubadhifu wote huu
Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye alitajwa na ubadhifu wote huu