johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa......!uzuri wa Paskal ni MAJI kupwa na MAJI kujaa
atajazaa quote,viambatanisho na thread zake zilizopita na sababu za mashiko
halafu atamalizia ''if u can not fight them join them"
Ngoja niscreenshot kabisaYohana mbatizaji kumbe hujamjua Paskal.
Pascal ni mtu wa kutembea juu ya akili za watu.
Kumuamini unatakiwa uhakikishe hayupo kichwani mwako.
Kwa kifupi kuwa Pascal kabadilika sana.Mbaya zaidi anaenda Mrama.
Namtabiria kabla ya january 15 mwakani atakuwa amepewa teuzi.
Natabiri pia kabla ya february mwakani Makonda atakuwa ametenguliwa.
Hebu shusha huo uzi tuone nani hapa anatulisha matango pori: Paskali au Yohana Mbatizaji? Uwezo wa CAG kikatiba hauwezi kuwa sawa na Jaji Mkuu, lakini wakisha chaguliwa wote hulindwa na katiba. Huwezi kuwaondoa kiurahisi kama hawakutenda kosa hata kama huwapendi.Mwanabodi Pascal Mayalla alileta uzi hapa akituelezea Uwezo wa CAG kikatiba ni sawa kabisa na Jaji Mkuu na kwamba agizo lake ni sawa na bill.
Leo Rais Magufuli amesema CAG siyo muhimili na mihimili ni mitatu tu Serikali, Bunge na Mahakama
Na kwamba CAG kwa kiswahili ni Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa Hesabu za serikali ILA mwenye serikali yupo.
Nakuomba mkuu Pascal Mayalla uje utolee ufafanuzi ule uzi wako vinginevyo utuombe radhi kwa kutulisha matango.
NAMSUBIRI mkuu Pascal Mayalla
Maendeleo hayana vyama!