Je PASS ni taasisi yenye tija nchini?

Je PASS ni taasisi yenye tija nchini?

sir charito

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
58
Reaction score
25
Juzi katika pitapita zangu ktk maonyesho ya kilimo nilikutana na taasisi hii ya PASS kuwa wanajihushisha na mikopo kwa mkulima hivyo kwa kuwa benk nyingi hazimpi mkopo mkulima ila hawa wamejitanabaisha kuwa wanamdhamini mkulima apewe mkopo na hivyo kuongeza tija kwa mkulima lkn nahisi na wao kwa kuwa wapo katikati ili kuhakikisha unapatiwa mkopo na benk ni wazi kuwa nao ni wanufaika sasa wadau naomba ushaur wadau hii taasis kama kuna mdau kawai itumia au kuifaham zaid tunaomba ufafanuz ili kama ina msaada basi wakulima tuitumia naomba kuwasilisha.
1559718023063.jpeg
 
Kwanza sijui kama unajua bank zote nchini zilikua hazitoi mikopo kwenye sector ya kilimo.

PASS walipoanza kutoa guarantee kwa bank 2002 kupitia CRDB waliweza kutoa mikopo

wao ndio waanzilishi wa mikopo kwenye sector za Miwa Kilombero na Mtibwa na baada ya wao kutoa hizo guarantee ndio

Bank kama CRDB, Exim, FBME, NMB, etc walianza kutoa mikopo kwa wakulima kupitia PASS.

walaua hayo machache nayafahamu kuhusu PASS
 
Hayo yote ungewauliza wahusika ungepata majibu
Najua hata humu kuna wataalam wengi wanaweza saidia na wengine kuwai Fanya nao kazi kutupa uzoefu wao na changamoto zake tena ni faida ya wengi nb kama hujui kitu kaa kimya na wewe ujifunze
 
Kwanza sijui kama unajua bank zote nchini zilikua hazitoi mikopo kwenye sector ya kilimo.

PASS walipoanza kutoa guarantee kwa bank 2002 kupitia CRDB waliweza kutoa mikopo

wao ndio waanzilishi wa mikopo kwenye sector za Miwa Kilombero na Mtibwa na baada ya wao kutoa hizo guarantee ndio

Bank kama CRDB, Exim, FBME, NMB, etc walianza kutoa mikopo kwa wakulima kupitia PASS.

walaua hayo machache nayafahamu kuhusu PASS
Kama unafaham zaid viwango vyake (charge)mkuu tujuze
 
Hakuna maelezo na ufafanuzi zaidi kuhusu hii taasi?
Wao wanasema kuwa wanainua sekta ya kilimo kwa kumdhamin mkulima benk apatiwe mkopo na benk lkn kwa kuwa wamekusaidia nao wana cost zao nilitamani nizifaham na namna ya malejesho kama kuna MTU Aliwai Fanya nao kazi akatupa A to Z za hii taasis.ova
 
wao ni kama wafanyabiashara wanaangalia kama una vigezo vya kukopesheka halafu watakuandikia mchanganupo kwenda benki kuna asilimia watakata pia kuna gharama nyingine wanakata tatizo pesa wanazokata zinatokana na huohuo mkopo
 
Ofcourse wanasaidia kukujengea trust kwenye mabenki. Ila ujue na wao wanakula kwenye mkopo utakaolipa wewe.
 
Kama una nia mkuu waone ofisini kwao naimani watakusaidia kwa maelezo zaidi, ila kikubwa ninachokuhakikishia kama wewe ni mkulima au mfugaji kweli basi wao ni mahala sahihi.
 
Y
Najua hata humu kuna wataalam wengi wanaweza saidia na wengine kuwai Fanya nao kazi kutupa uzoefu wao na changamoto zake tena ni faida ya wengi nb kama hujui kitu kaa kimya na wewe ujifunze
p kaka naungana na we we usiongee kitu kama hujafanya tafiti bora kukaa kimya
 
Asante sana mkuu walau nimepata tumaini ngoja niwaibukie ofisini kwao
Kama una nia mkuu waone ofisini kwao naimani watakusaidia kwa maelezo zaidi, ila kikubwa ninachokuhakikishia kama wewe ni mkulima au mfugaji kweli basi wao ni mahala sahihi.
 
Duuu!!!!!! Hiyo nayo ni changamoto lkn hakuna namna maana benk bila wao hupewi mkopo
Ofcourse wanasaidia kukujengea trust kwenye mabenki. Ila ujue na wao wanakula kwenye mkopo utakaolipa wewe.
 
Nashukur kwa ufafanuz ngoja nijitose kujaribu Fanya nao kazi

Back
Top Bottom