sir charito
Member
- May 14, 2019
- 58
- 25
Najua hata humu kuna wataalam wengi wanaweza saidia na wengine kuwai Fanya nao kazi kutupa uzoefu wao na changamoto zake tena ni faida ya wengi nb kama hujui kitu kaa kimya na wewe ujifunzeHayo yote ungewauliza wahusika ungepata majibu
Kama unafaham zaid viwango vyake (charge)mkuu tujuzeKwanza sijui kama unajua bank zote nchini zilikua hazitoi mikopo kwenye sector ya kilimo.
PASS walipoanza kutoa guarantee kwa bank 2002 kupitia CRDB waliweza kutoa mikopo
wao ndio waanzilishi wa mikopo kwenye sector za Miwa Kilombero na Mtibwa na baada ya wao kutoa hizo guarantee ndio
Bank kama CRDB, Exim, FBME, NMB, etc walianza kutoa mikopo kwa wakulima kupitia PASS.
walaua hayo machache nayafahamu kuhusu PASS
Wao wanasema kuwa wanainua sekta ya kilimo kwa kumdhamin mkulima benk apatiwe mkopo na benk lkn kwa kuwa wamekusaidia nao wana cost zao nilitamani nizifaham na namna ya malejesho kama kuna MTU Aliwai Fanya nao kazi akatupa A to Z za hii taasis.ovaHakuna maelezo na ufafanuzi zaidi kuhusu hii taasi?
p kaka naungana na we we usiongee kitu kama hujafanya tafiti bora kukaa kimyaNajua hata humu kuna wataalam wengi wanaweza saidia na wengine kuwai Fanya nao kazi kutupa uzoefu wao na changamoto zake tena ni faida ya wengi nb kama hujui kitu kaa kimya na wewe ujifunze
Kama una nia mkuu waone ofisini kwao naimani watakusaidia kwa maelezo zaidi, ila kikubwa ninachokuhakikishia kama wewe ni mkulima au mfugaji kweli basi wao ni mahala sahihi.
Y
p kaka naungana na we we usiongee kitu kama hujafanya tafiti bora kukaa kimya
Ofcourse wanasaidia kukujengea trust kwenye mabenki. Ila ujue na wao wanakula kwenye mkopo utakaolipa wewe.
wao ni kama wafanyabiashara wanaangalia kama una vigezo vya kukopesheka halafu watakuandikia mchanganupo kwenda benki kuna asilimia watakata pia kuna gharama nyingine wanakata tatizo pesa wanazokata zinatokana na huohuo mkopo