J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 26, 2024 #1 Nimeona hapa Iringa Masai mmoja anaongoza kampeni za Chadema kwa viwango vilivyotukuka na nyomi la kutosha kabisa na chenji inabaki Wadimi wa hapa Kihesa wameniambia anaitwa Sosopi Ametisha sana ππ
Nimeona hapa Iringa Masai mmoja anaongoza kampeni za Chadema kwa viwango vilivyotukuka na nyomi la kutosha kabisa na chenji inabaki Wadimi wa hapa Kihesa wameniambia anaitwa Sosopi Ametisha sana ππ