zinapunguza kwani pale tu utakapotokea sehemu yoyote ile na pete yako inaonyesha status yako
lakini siku hizi watu wanaona kama mapambo heshima ya pete ya ndoa haipo tena
kuna baadhi wanadiriki kuzivua wakiwa katika mazingira ya starehe na sehemu ambazo wanaona hazifai kuonyesha status zao
Inatokea umingia katika restaurant ama club na uko mwenyewe tu,ghafla anaingia binti mrembo/kijana mtanashati naye yupo single(hajaambatana na yeyote).Moyo unakulipuka,na unatengeneza mazingira ya kumtokea kutaka kujiweka katika himaya yake/yako.
Katika kumshushia mistari ya hapa na pale unagundua amevaa pete ya ndoa,naye bila kusita anakutandika na jibu hili:Samahani nimeolewa/nina mke mie,hivyo huna haja ya kuniimbisha kihivyo.
Je,hizi pete zinasaidia kuzuia mashambulizi ya kimahaba nk, ama ndio zinaongeza kasi ya kutamaniwa zaidi?
pete hazina msaada!
kama mwanamke kicheche ATAENDELEA KUWA KICHECHE.enzi zetu tumepiga sana madem wenye ndoa zao
Licha ya kupunguza mashambulizi... zinaleta heshima na taadhima kwa mvaaji! Amen
na kama mwanaume Kiwembe ni kiwembe tu ...
zinapunguza kwani pale tu utakapotokea sehemu yoyote ile na pete yako inaonyesha status yako
lakini siku hizi watu wanaona kama mapambo heshima ya pete ya ndoa haipo tena
kuna baadhi wanadiriki kuzivua wakiwa katika mazingira ya starehe na sehemu ambazo wanaona hazifai kuonyesha status zao
Licha ya kupunguza mashambulizi... zinaleta heshima na taadhima kwa mvaaji! Amen
Nani alikudangaya mazee? Hizo pete kwani zinatoka mbinguni? Hapo Kariakoo zinauzwa kama njugu. Mabaamedi na machangudoa wa kumwaga wanazivaa wakati hawajaolewa. Jidanganyeni tu na heshima za pete. The real heshima ya ndoa iko moyoni bana!
Swadaktaa!!!
Leo tuko pamoja binamu, heshima ya ndoa ya mtu iko moyoni mwake na wala si pete, kwa ufupi siku hizi wachache sana wanaojali exiztance ya hiyo pete ya ndoa, akitaka kutongoza/kutongozwa pete is not a case.Nani alikudangaya mazee? Hizo pete kwani zinatoka mbinguni? Hapo Kariakoo zinauzwa kama njugu. Mabaamedi na machangudoa wa kumwaga wanazivaa wakati hawajaolewa. Jidanganyeni tu na heshima za pete. The real heshima ya ndoa iko moyoni bana!
Leo tuko pamoja binamu, heshima ya ndoa ya mtu iko moyoni mwake na wala si pete, kwa ufupi siku hizi wachache sana wanaojali exiztance ya hiyo pete ya ndoa, akitaka kutongoza/kutongozwa pete is not a case.
Sawa kabisa dada wa1.
Ila kuna kinasiye tukiambiwa nimeolewa,utasikia kwani nini bwana,..kuolewa kitu gani!!
yaana heshima imekwenda na maji kabisa.
Kuna wadada wengine ukimwambia nina mke,utashangaa na roho yako vile atakavyoshangilia ukimuliza kulikoni utaambiwa kuwa unamfaa sana,hutakua msumbufu kwake nk.
..Ilikuwa zamani sio siku hizi!!!Licha ya kupunguza mashambulizi... zinaleta heshima na taadhima kwa mvaaji! Amen