Ushindi kama wa Padri Slaa? tutakuwa wote mtaani Mkuu
Acha kuhemukwa kama dada aliye ktk siku zake,ama pamba zinavujisha,au umeshatoka jifungua naona unapukutika tu.toa shanga zako hapa.
CHADEMA kamwe hawatashinda pale si km....,hata mkija na mamluki mmeshabwagwa,kaeni chonjo mkijiandaa na kilio cha aibu km kilivyokuwa kwa babu slaa
Kumbe usimchezee simba masharubu!Jina lako linasadifu ufyenze unaotema.
Acha kuhemukwa kama dada aliye ktk siku zake,ama pamba zinavujisha,au umeshatoka jifungua naona unapukutika tu.
Ina maana hakuna uchaguzi ambao CCM inashinda bila kuchakachua?Itakuwa kama Tarime tu. CUF na CDM watagawana kura za upinzani na kuiacha CCM ikihitaji kuchakachua kura kidogo tu waibuke kidedea.
Umejuaje,najilipua km Kubenea au km slaayaani wewe ni mtu mwenye chuki sana na watu wengine.Pia wewe ni mdini hamna mfano wake.Huna tofauti na wale wanaojilipua
Upatu tena,umekumbuka DECI nini,walikuliza?usijilinganishe na mimi,rudi kwenye kazi yako ya kupiga kinandabado hizi ni shanga, nasema toa SHANGA ZAKO HAPA. ww dada zipeleke kwenye upatu! au zifunge vizuri kiunoni maana zinamwagika hovyo hovyo.
View attachment 38132
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi picha hizi zinatoa changamoto muhimu sana. Tuchukulie kijiji hiki kama kipimo cha nani atapata kura nyingi kati ya CUF na CDM, Je ni rahisi kutoa uamuzi nani atashinda kwa kuangalia picha hizi?, Je wingi wa watu ni kipimo sahihi cha kumtambua mshindi? Tatu, kama CUF/CDM watazoa kura za watu wote hawa CCM wana kitu kweli hapa ikizingatia kijiji hiki ndio Kafumu amekuwa akijivunia kuwa mlezi wa vijana wao.
Nawasilisha
Mbinu mpya ni kujilipua kama Dr Slaa na wenzake,halafu mnatangaza ushindi kabla ya kupiga kura na kutangaza baraza la mawaziri,vp na Igunga,nasikia mmeshinda kwa asili ya mara au asili ya mbeya au kwa asili ya wapi,asili ya mia,pwaa mmeshajilipua,na jamaa wa igunga karibuni nae ataugua wazimu km Padrituambie ccm mmekuja na mbinu gani ya ushindi zaidi ya hii yakutumia police maana mkishaona mbaya ndo zenu
Naam vivyo ndivyo mlivyofunzwa km yeyote anayeipinga cdm,basi ni mtu wa madrassa,umeshanasa wewe,sasa hata mimi ni mtu wa imani ya madrassa ndiyo siruhusiwi kusherehekea ushindi wa Padri oh no,wa Dr Slaa?anyway basi nitasimama pembeni nikiwaoneshea alama ya dole gumbamh! ushaimadrasa hii thread! dah! si ww bali ni chuki binafsi ndani ya moy owako dhidi ya cdm, na pia chuki hiyo si chuki kavu bali yenye mbolea ya udini ndani ya moyo wako haitoshi bado si chuki yenye udini tu bali yenye itikadi
ya kuaminishwa na watoa hoja kurupushi za walio kuminishwa istoshe dini zetu tulisha ziteketeza na kufuata za wanyenazo.
ni hayo tu
Upatu tena,umekumbuka DECI nini,walikuliza?usijilinganishe na mimi,rudi kwenye kazi yako ya kupiga kinanda
uc ogope imaniNaam vivyo ndivyo mlivyofunzwa km yeyote anayeipinga cdm,basi ni mtu wa madrassa,umeshanasa wewe,sasa hata mimi ni mtu wa imani ya madrassa ndiyo siruhusiwi kusherehekea ushindi wa Padri oh no,wa Dr Slaa?anyway basi nitasimama pembeni nikiwaoneshea alama ya dole gumba
kichenchede!!
Acha kuhemukwa kama dada aliye ktk siku zake,ama pamba zinavujisha,au umeshatoka jifungua naona unapukutika tu.
yaani wewe ni mtu mwenye chuki sana na watu wengine.pia wewe ni mdini hamna mfano wake.huna tofauti na wale wanaojilipua
View attachment 38132
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi picha hizi zinatoa changamoto muhimu sana. Tuchukulie kijiji hiki kama kipimo cha nani atapata kura nyingi kati ya CUF na CDM, Je ni rahisi kutoa uamuzi nani atashinda kwa kuangalia picha hizi?, Je wingi wa watu ni kipimo sahihi cha kumtambua mshindi? Tatu, kama CUF/CDM watazoa kura za watu wote hawa CCM wana kitu kweli hapa ikizingatia kijiji hiki ndio Kafumu amekuwa akijivunia kuwa mlezi wa vijana wao.
Nawasilisha
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
%