Je, PID inatibiwa na Azuma?

Je, PID inatibiwa na Azuma?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu katika hali ya kushangaa! Mwanamke karudi na Azuma za siku tatu na anti pain kama matibabu ya PID??

Sasa nilichoshangaa kweli PID itibiwe na Azuma ya siku tatu. Nielewavyo mimi PID ni ugonjwa unaotokana na complication ya UTI kwa maana hiyo hata matibabu yake ni ya kirahisi Dozi huenda siku 14
 
Vipi wewe upo salama mkuu? Usije anza kojoa moto 🤔
 

Attachments

  • GXgPEawWIAAE2Pb.jpeg
    GXgPEawWIAAE2Pb.jpeg
    16.9 KB · Views: 6
ceftriaxone injection 1g kila baada ya masaa 24 kwa siku tatu

Doxcycline caps 100mg kila baada ya masaa 12 kwa siku 7

metronidazole Tabs 400mg kila baada ya masaa 8 kwa siku 7
At least hii imekaa poa
 
Back
Top Bottom