Je, pikipiki aina ya Boxer 150 inafaa milimani vijijini?

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu salaam!

Msaada wa mawazo ninaishi milimani vijijini huku.

Je, boxer 150 itanifaa kweli?
 
Boxer inafaha vizuri tu tena chukua yale makubwa mdomo wabata utainjoy achana na matibeta hayo hata fasheni hayana..

Mimi mara nyingi napandisha nayo Mbeya vijijin-umalila na nyuma nabeba hadi 150Kg zambolea huko kuna milima nikisanga nausafiri wakwenda nao ukainjoy ni pkpk mana gari kuna sehemu utafika kuna vidaraja vyakilocally huwezi vuka nagari ko kwagari inakubidi kuzunguuka sana.

Wenyeji wahuko nao walikalili kuwa Boxer nizamjini ila miminiliwaprove wrong
 
Boxer ni bonge la boda shda watz weng wana i handle kama boda za kichina ...boxer ina nguvu naweza sema kuliko boda yoyote ya kichina.

Mimi nmeendesha pikipiki za kichina karibu zote mikoa ya kanda ya ziwa lakin home huku nyanda za juu nina boxer 150cc mdomo wa bata wanaita for rough roads.

Aisee huwaaa haina vibration na nina projects zangu miliman huwa nachukua mzgo mzto na chomboo ina nyanyuka hadi raha.

Watu wengi hawazpend boxer coz spairs n somehow expensive alafu haitak oil za buku 5 lazma uweke high mileage oil like total 20W ..
 
Upo Mkoa Wilaya Kata Kitongoji Gani Tukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…