The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Sijakuelewa Jamhuri ipi?jamhuri
Sio jamhuriKamanda Pole pole ameumaliza mwendo RIP amecheza na jamhuri
Jamhuri ya muungano wa TanzaniaSijakuelewa Jamhuri ipi?
Pole pole alikuwa anacheza na jamhuri sasa yamemfika yakumfikaSio jamhuri
ILa nyinyi wabongo wanafiki sana Bora wasanii walivyoamua kuwa upande wa serikali kwa kuvoid Mambo Kama hayaKila nikikumbuka stori ya mwangwi na agata namuonea huruma slow slow huko alipo saivi namna wanambagaza.
Nasikia tayari dah
Nasikia tayari dah
DNasikia tayari dah
Gwajima sasa ajiandae kufanyiwa kitu mbaya. Wanacheza na system tena iliyowatengeneza na kuwalisha siyo?Nasikia tayari dah
Alikua anacheza na wahuni kama Rostam ni jamhuri?Pole pole alikuwa anacheza na jamhuri sasa yamemfika yakumfika
Katekwa na Mafwele, Abdul na kundi lao sasa inategemea wametumwa na serikali, CCM, wana mtandao au Samia personally?Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli.
Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati alikuwa akitia kitumbua cha wenzake mchanga?
Je, japo kuteka ni mchezo wa CCM, inakuwaje wanapoanza kutekana hata kuuana wenyewe? Je, kwa ukondoo wetu, kama Polepole atauawa, kuna lolote la maana litatokea au mambo yataishia hapo?
Je, kwanini serikali yetu sikivu na 'inayojali utu' imeshikwa na kigugumizi? Je, kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?
Je, nani watafaidika na kuondolewa Polepole? Je, Polepole alikuwa anajua hatari ya mambo aliyokuwa akifichua?