Je polisi wana kinga ya kukamatwa wakituhumiwa

Je polisi wana kinga ya kukamatwa wakituhumiwa

mwanamapinduko

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
178
Reaction score
41
Wakuu naomba kuuliza huyu ACP H. Msangi ametuhumiwa kuhusika na kutekwa na kuteswa Dr Ulimboka kwanini hakamatwi? Je kuna sheria inayomlinda?
 
Polisi wanaweza kukamatwa kama kuna haja ya kufanya hivyo, umesahau akina Zombe ua Ma Colonel wa SUMA JKT
 
Back
Top Bottom