mwanamapinduko Senior Member Joined Jan 24, 2011 Posts 178 Reaction score 41 Jul 15, 2012 #1 Wakuu naomba kuuliza huyu ACP H. Msangi ametuhumiwa kuhusika na kutekwa na kuteswa Dr Ulimboka kwanini hakamatwi? Je kuna sheria inayomlinda?
Wakuu naomba kuuliza huyu ACP H. Msangi ametuhumiwa kuhusika na kutekwa na kuteswa Dr Ulimboka kwanini hakamatwi? Je kuna sheria inayomlinda?
A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,180 Reaction score 307 Jul 15, 2012 #2 Ipo! hukamatwi kama tu, umetumwa na wakubwa
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,282 Reaction score 322 Jul 15, 2012 #3 Polisi wanaweza kukamatwa kama kuna haja ya kufanya hivyo, umesahau akina Zombe ua Ma Colonel wa SUMA JKT
Polisi wanaweza kukamatwa kama kuna haja ya kufanya hivyo, umesahau akina Zombe ua Ma Colonel wa SUMA JKT
congobe JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 561 Reaction score 131 Jul 16, 2012 #4 atakamatwa we ngoja arudi Dr ULI