Je presha huambukiza?

Je presha huambukiza?

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
948
Reaction score
641
Kwa muda wa miezi nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye ana tatizo la presha,Sasa wiki mbili zilizopita nilikuwa najisikia hovyo nikaenda hospitali kupima ,sukari bp typhoid na malaria,ikaonekana nina tatizo la bp ya kupanda,msaada wataalam
 
Through genes yes, ndiyo maana ukienda hospitali kama una matatizo ya high BP wanauliza kama kwenye familia kuna mwenye tatizo hilo hasa mama au baba.
 
Kwa maana hiyo huwezi kupata maambukizi kutoka mume au mkeo?
 
Kwa muda wa miezi nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye ana tatizo la presha,Sasa wiki mbili zilizopita nilikuwa najisikia hovyo nikaenda hospitali kupima ,sukari bp typhoid na malaria,ikaonekana nina tatizo la bp ya kupanda,msaada wataalam

Pressure haimbukizwi bali unaweza kuirithi kutoka kwa kizazi chako..
 
Kuna kitu kinaitwa DNA ndiyo ubeba tabia ya mtu atakuwaje atakapozaliwa. Kuna namna ya kufanya kuepuka baadhi ya tabia au matatizo ya Afya. Mfano mtoto anaweza kuzaliwa kwa mama mwenye Kisukari type 1 tunategemea Huyo mtoto kama ataendelea kula vyakula vilevile vya mama yake baada ya kuzaliwa basi Huyo mtoto ziku za mbeleni atakuwa na Kisukari kama atabadili Mfumo wa kula Kisukari awezi kupata.

Ww Una pb Kuna uwezekano mkubwa wakati upo tumbo kwa mama mzazi wako alikuwa ana BP au Mfumo wako wa ulaji wa vyakula umekufanya kupata BP. Jaribu kuchunguza vitu hivi 2
 
Kipimo hicho kimoja wakati una stress ya kuumwa si kithibitisho kuwa una presha. Kuna kitu tunaita White coat hypertension .Hapa kuna watu wakiwa kwenye mazingira ya hospitali au wakimuona daktari huwa na wasiwasi hivyo wakipimwa presha hukutwa nayo. Hata hivyo presha haiambukizwi bali inaweza kurithiwa ma watu weusi tuko kwenye hatari sana ya kupata presha kuliko jamii zingine.
 
[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji2535][emoji1690][emoji1690]
 
Back
Top Bottom