ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Kwa maana hiyo huwezi kupata maambukizi kutoka mume au mkeo?Through genes yes, ndiyo maana ukienda hospitali kama una matatizo ya high BP wanauliza kama kwenye familia kuna mwenye tatizo hilo hasa mama au baba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maana hiyo huwezi kupata maambukizi kutoka mume au mkeo?
NoKwa maana hiyo huwezi kupata maambukizi kutoka mume au mkeo?
Mluguru unakata mbavu tu badala ya kutoa msaada kwenye tuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa muda wa miezi nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye ana tatizo la presha,Sasa wiki mbili zilizopita nilikuwa najisikia hovyo nikaenda hospitali kupima ,sukari bp typhoid na malaria,ikaonekana nina tatizo la bp ya kupanda,msaada wataalam
[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji2535][emoji1690][emoji1690]Kipimo hicho kimoja wakati una stress ya kuumwa si kithibitisho kuwa una presha. Kuna kitu tunaita White coat hypertension .Hapa kuna watu wakiwa kwenye mazingira ya hospitali au wakimuona daktari huwa na wasiwasi hivyo wakipimwa presha hukutwa nayo. Hata hivyo presha haiambukizwi bali inaweza kurithiwa ma watu weusi tuko kwenye hatari sana ya kupata presha kuliko jamii zingine.
50yrsLife style,
Family History,
And Age.
Yeah, ni sahihi kwa miaka ya Sikh hizi, Mara nyingi vijana wa Siku hizi ndo wanakumbwa na pressure ya kushuka.50yrs