Binti huyaelewi mambo ya kidiplomasia ingawa unayapenda. Ngoja nikufahamishe. Mara baada ya Ubalozi wa Marekani nchini kulipuliwa, Waziri wa kwanza kufika eneo la tukio alikuwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo Mzee Augustino Lyatonga Mrema. Maafisa wa Kimarekani waliokuwa eneo hilo, walikataa katakata kumruhusu kuingia eneo la tukio wakidai HAWAMJUI. Alipofika Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, walimruhusu kuingia eneo la tukio!
Kwa maelezo hayo machache, nadhani utajua ni kwanini Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi alienda Madagascar kufuata "dawa" badala ya Waziri Ummy Mwalimu!