Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
wanasema Kabudi anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo
Waziri wa afya anapokea misaada ya ndani ya Sanitizer na Barakoa!Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
Binti huyaelewi mambo ya kidiplomasia ingawa unayapenda. Ngoja nikufahamishe. Mara baada ya Ubalozi wa Marekani nchini kulipuliwa, Waziri wa kwanza kufika eneo la tukio alikuwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo Mzee Augustino Lyatonga Mrema. Maafisa wa Kimarekani waliokuwa eneo hilo, walikataa katakata kumruhusu kuingia eneo la tukio wakidai HAWAMJUI. Alipofika Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, walimruhusu kuingia eneo la tukio!Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
Kabudi ana umaarufu gani ?Binti huyaelewi mambo ya kidiplomasia ingawa unayapenda. Ngoja nikufahamishe. Mara baada ya Ubalozi wa Marekani nchini kulipuliwa, Waziri wa kwanza kufika eneo la tukio alikuwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo Mzee Augustino Lyatonga Mrema. Maafisa wa Kimarekani waliokuwa eneo hilo, walikataa katakata kumruhusu kuingia eneo la tukio wakidai HAWAMJUI. Alipofika Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, walimruhusu kuingia eneo la tukio!
Kwa maelezo hayo machache, nadhani utajua ni kwanini Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi alienda Madagascar kufuata "dawa" badala ya Waziri Ummy Mwalimu!
Duh! Uwezo wako mdogo zaidi ya nilivyokuwa nafikiri!Kabudi ana umaarufu gani ?
π³π³π³π³Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
Mbona mambo yako wazi sana !π³π³π³π³
Unaweza ukadadavua kidogo.
Duh, sawa.!Mbona mambo yako wazi sana !
Wewe akili yako ni zero. Hili suala lilikuwa linahusu wizara ya mambo ya nje ili kupata dawa.Ni diplomatic issue. Mzigo umeingia Tanzania wizara ya afya ndio wanashughulika nao.Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
We jamaa hivi ni kweli ubalozi wa marekani ulipolipuliwa Mrema alikuwa Waziri wa mambo ya ndani? Una uhakika? Wakati Jakaya akiwa Waziri wa mambo ya nje miaka kumi haijawahi tokea Mrema kawa Waziri wa mambo ya ndani. Hoja nzuri lakini data za uongo umetoa umeharibu.Binti huyaelewi mambo ya kidiplomasia ingawa unayapenda. Ngoja nikufahamishe. Mara baada ya Ubalozi wa Marekani nchini kulipuliwa, Waziri wa kwanza kufika eneo la tukio alikuwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo Mzee Augustino Lyatonga Mrema. Maafisa wa Kimarekani waliokuwa eneo hilo, walikataa katakata kumruhusu kuingia eneo la tukio wakidai HAWAMJUI. Alipofika Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, walimruhusu kuingia eneo la tukio!
Kwa maelezo hayo machache, nadhani utajua ni kwanini Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi alienda Madagascar kufuata "dawa" badala ya Waziri Ummy Mwalimu!
Huyu professa wa kufubaza kutoka jalalani hana la kufanya isipokuwa kwenda popote anapotumwa na boss wake.Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
Aiseee !!! hadi hurumaHuyu
Huyu professa wa kufubaza kutoka jalalani hana la kufanya isipokuwa kwenda popote anapotumwa na boss wake.