Je, PSSSF imefilisika? Lipeni pensheni wa wazee wetu

Je, PSSSF imefilisika? Lipeni pensheni wa wazee wetu

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
804
Reaction score
1,322
Leo ni tarehe 24/12/2019. wazee wastaafu wanahaha na vijisenti vya kula sikukuu.

Kama mmefilisika toeni taarifa watu wajue fate yao.

Ni upuuzi kutowalipa haki yao wakati mnajua kuwa leo ni sikukuu nao wanahitaji pesa iwasaidie.

Serikali imelipa watumishi tangu 20th, nyinyi mmeziba masikio!
 
Mafao ya wastaafu ni msala.

Miaka 4 watu hawalipwi mafao yao,wanaishije?

Ndio mambo ya PSSSF hayo.
 
Back
Top Bottom