Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Akisitisha ni aibu akitanua ni aibu piaUsiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
Sawa, uliwahi kufikiria kuwa kuna siku Moscow itatandikwa na Ukraine!?Ujerumani isinge anguka kiuchumi ikiwa hesabu za Putin ni mbaya.
Ukraine anasaidiwa na mataifa karibia yote ya ulaya, pamoja na Marekani!Akisitisha ni aibu akitanua ni aibu pia
URUSI super power wa mchongoUkraine anasaidiwa na mataifa karibia yote ya ulaya, pamoja na Marekani!
Ukraine ana uwezo wa kuendelea kupigana na Urusi kwa muda mrefu zaidi.
Urusi wanaweza kuvumilia hii piga nikupige?
Hii hasara ya vita, wanaweza kuendelea kuivumilia!?
Warusi wataweza kumvumilia Putin?Russia itajibu kwa nguvu...
Piga nikupige...
Lilikuwa kosa la wazi kabisa.Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
Ni superpower.URUSI super power wa mchongo
Ile inteligensia yake haikutambua huu mtego?Ni superpower.
Ni vile amenasa tu kwenye mtego, Wamarekani wabaya sana aisee!!!
Ego!Ile inteligensia yake haikutambua huu mtego?
Warusi wanamkubali Putin kwa kuipambania Russia..Warusi wataweza kumvumilia Putin?
Kawaletea vita nyumbani, sasa machungu ya vita wanayapata moja kwa moja.
Kisa hilo shambulizi la drone ndipo useme amenasa mtegoni?Ni superpower.
Ni vile amenasa tu kwenye mtego, Wamarekani wabaya sana aisee!!!
Punguzeni ushabiki wakuu.Kisa hilo shambulizi la drone ndipo useme amenasa mtegoni?
Hivi unafahamu Russia hadi sasa inazalisha silaha kwa wingi zaidi kuliko uzalishaji wa nchi zote hapo Ulaya...? Risasi, makombora, magari n.k...
Hapana, kitendo cha kuona kuwa mataifa makubwa ya ulaya yapo tayari kuingia vitani dhidi ya Urusi kwasababu tu ya kumkingia kifua Ukraine ndio kinafanya nione Urusi amenasa mtegoni.Kisa hilo shambulizi la drone ndipo useme amenasa mtegoni?