Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Ego!
Kama mwenzake Marekani alivyonasa kwenye mtego wa vita dhidi ya Iran!
Kama Urusi na Iran wanaweza kumpiga Marekani. Kwanini wanawekewa vikwazo na Marekani na vinafanya kazi? Kwao wao wasimuwekee vikwazo Marekani?

Iran hawezi kupigana vita na Marekani akashinda ni yale ya Marekani na Afghanistan kisha Pakistan anamshinda Afghanistan πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kwa maana hiyo Pakistan anamshinda Marekani kwenye vita.

Kama Iran yupo Serious kwa vita apige Marekani kama alivyofanya Ukraine, Zalensky kuipiga MoscowπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Marekani anapiga moja kwa moja Iran ila Iran anaishia kulipua kambi tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Siendekezi ubishi wa kitoto nishaku ignore maana huna point za maana za kunieleza. Aya kabishane na watoto wenzako.
 
Marekani anapiga kutokea kambi zake za mashariki ya kati ila sio kutokea Washington. Pia kama Iran angekua hana uwezo wa kupigana na Marekani asingelipua kambi 23 na balozi tano na kusababisha 670+ vifo na majeruhi vya wanajeshi wa Marekani. Pia asingeharibu asset za Marekani zenye thamani ya $ 200 billions. Na hapo Iran ilikua bado haijaunda ICBM. Na sasa imeshaunda ICBM. Kama Marekani ina nguvu ikafungue Hormuz.

Kuhusu vikwazo Marekani kinachomsaidia ni dollar yake na ushirika na EU. Kama isingekua hivyo hakuna vikwazo ambavyo vingefanya kazi. Hadi hapo baadhi ya mataifa yameshaanza kukataa kuungana na vikwazo vya Marekani ikiwemo Spain.
 
Siendekezi ubishi wa kitoto nishaku ignore maana huna point za maana za kunieleza. Aya kabishane na watoto wenzako.
Kumbe unabishana!! Ndo maana unaandika pumba tupu na huo ubishi wako.
 
Ameshatoboa muda sana. Sijui wewe unataka Putin atoboe kivipi!?
Putin bado hajatoboa na hana uwezo wa kutoboa.
Bado anahangaika na Ukraine. Huko tunapoelekea Urusi itakuja kuwa Colony la USA., kambi za jeshi za USA zitawekwa hapo Russia.
Mzungu ana akili sana, sababu nchi za kiujamaa hawana akili na wanaamini kwenye akili ya mtu mmoja kama kuna wajinga waliamini kwenye utawala wa Magufuli na GhadafiπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

George w Bush, George Bush, Obama, Biden na Trump wote hawa wameiwekea vikwazo Urusi. Bado Putin ni yule yule sasa hivi ni mzee bado na hawezi kuishi milele
 
Naona unaongea hisia kuliko uhalisia amka utajikojolea. Ukraine 25% ya ardhi imeshamegwa tangu 2014. Sasa hivi Russia ameingia Odessa tarajia baadae Ukraine ikose bandari maana mji wa bandari unaenda kutekwa. Ongea facts usiropoke hapa.
Hizo sanctions zimeiumiza zaidi Marekani na washirika wake wa Ulaya. Sasa hivi wanatafutana kuhusu suala la nishati kiasi wanataka kutumia akiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…