100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hasara wanapata ndio..Punguzeni ushabiki wakuu.
Kuzalisha siraha hakuondoi ukweli kuwa Russia anapata hasara kubwa kutokana na mashambulizi ya Ukraine. Uzalishaji wa siraha sio excuse.
Waingie, Ukraine imepokonywa maeneo mengi.. wanasubiri nini kuingia?Hapana, kitendo cha kuona kuwa mataifa makubwa ya ulaya yapo tayari kuingia vitani dhidi ya Urusi kwasababu tu ya kumkingia kifua Ukraine ndio kinafanya nione Urusi amenasa mtegoni.
Sawa kiongozi, ngoja tuendelee kutazama hii piga nikupige itakapoishia!Waingie, Ukraine imepokonywa maeneo mengi.. wanasubiri nini kuingia?
Hakuna nchi yeyote hapo itajitokeza..Sawa kiongozi, ngoja tuendelee kutazama hii piga nikupige itakapoishia!
Hilo ndilo lengo la mwandishi,Hasara wanapata ndio..
Ukraine pia inapata hasara....
Taarifa zinasema Urusi ndio wenye mpango wa kushambulia mataifa ya Ulaya kwasababu wanamsaidia Ukraine.Hakuna nchi yeyote hapo itajitokeza..
Hao hata kuisaidia US kupambana dhidi ya Iran wamekula kona..
Moscow sio salama tena!Kama MBUNG'O zinaanza kukruuzi na KUPIGA hapa
basi Moscow kwa sasa sio SALAMA ....Rethink
Evacuation Alarm a head....Moscow sio salama tena!
Putin has a decision to make!!!
Tough times ahead of us!Evacuation Alarm a head....
Ni drones na makombora ya masafa marefu.Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
View attachment 3674360
View attachment 3674355
Military GIS ........kitengo hatari sana na Warusha Mbung'o wasio ONEKANANi drones na makombora ya masafa marefu.
Hakuna mtu anaweza kushinda Vita kizembe,waulize Marekani saizi wanawaza kutumia nuke Kwa Iran
Sahihi. Wengi hatukutarajia Ukraine kuipereka vita chumbani kabisa kwa bwana Putin.Ni drones na makombora ya masafa marefu.
Hakuna mtu anaweza kushinda Vita kizembe,waulize Marekani saizi wanawaza kutumia nuke Kwa Iran
Kwa Sasa Putin hana chaguo zaidi ya huu wasiwasi alioingia Kwa Sasa.Sahihi. Wengi hatukutarajia Ukraine kuipereka vita chumbani kabisa kwa bwana Putin.