Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Sasa kwani msaada sio namna ya kuingia vitani ??
 
We
Dunia kwa sasa haina super power mzeee
Au kama yupo tutajie na utwambie kafanya kipi cha tofauti na Russia wakiwa vitani?
We Kafuge kanga..mlisema tangu 2022 kua russia anamaliza kazi mapema

Matokeo yake hadi sasa ananyonyolewa
 
Ushajijibu tayari kama sio namna ya kuingia vitani
Uliza dunia nzima nchi ipi iko vitani na Russia utaambiwa Ukraine
Kwahio marekani ipo vitani na China???
Achana na mambo ya kuambiwa
.urussi mwenyewwe.anajua anapambana na kina nani
 
Achana na mambo ya kuambiwa
.urussi mwenyewwe.anajua anapambana na kina nani
Hujajibu swali china ipo vitani na marekani???
Russia anajua kama Ukraine inapewa misaada na west na husema hv mara kadhaa
Ila kupewa misaasa haimaanishi kua wapo vitani
 
Source? ISW
Russia's War Budget Share
Russia currently spends between 41% and 47% of its total federal budget expenditures on defense and the war in Ukraine.


• Total Federal Spending:
Military and national defense-related allocations absorb nearly half of every ruble the Russian government spends.

• Share of Revenue:
Expenditures on the military have surpassed 57% of total federal budget tax income.

• GDP Percentage:
Official defense and security allocations account for roughly 6.3% to 7.3% of Russia's total GDP, though broader war-related costs drive the economic burden higher.

• Historical Jump:
Before the full-scale invasion in 2021, military spending made up only about 20% of the federal budget.

Daily and Recent Spending Scale
• Daily Cost: Russia burns roughly 65 billion rubles (approx. US$547 million to $800 million depending on calculations and adjacent security outlays) per day on the war.

• First Half of 2026:
Direct and adjacent war-related outlays exceeded 10.6 trillion rubles in the first six months of the year alone.

• Budget Strain:
Surging costs have forced the Kremlin to delay or freeze civilian and non-defense public spending to manage a growing budget deficit.
 
Kwanza vita ilipoanza jamaa alishindwa kabisa kukaa pale Kyiv akaruhusu hawa watu kuingia na kujipanga mle ndani..Wote tunajua lengo la hii vita ni kufanikiwa kuisambaratisha Urusi ili utajiri ule ugawannywe hakuna mtu hata mmoja anaipenda ile Ukraine...

Ukraine kama nchi imeshaisha sasa wanaopiganisha ni Watu wa NATO kinachoshangaza ni kwanini Putin asimsort yule puppet wao zele ampe chuma ili hawa jamaa waogope Serikali hizi zote za Ulaya zinapewa maelekezo na Mashirika na Kampuni nini wafanye nini wasifanye....
 
Ukraine anasaidiwa na mataifa karibia yote ya ulaya, pamoja na Marekani!

Ukraine ana uwezo wa kuendelea kupigana na Urusi kwa muda mrefu zaidi.

Urusi wanaweza kuvumilia hii piga nikupige?
Hii hasara ya vita, wanaweza kuendelea kuivumilia!?
ukubwa wa urus ni karibu mara mbili ya ulaya so ni kusema kuwa ni maeneo mawili yapigana yaliyo sawa bila kusahau urus nae ana north korea na wageni kibao wanapigana upande wake
 
Russia kaamua kuwafinya western pale pale ndani ya Ukraine
Maana kila misaada wanayoleta anapita nayo
Na juzi kapiga alipotoka borris Johnson ilikua ni ujumbe rasmi
Russia anawapeleka mdogo mdogo tuendelee tu kunywa mtuzi mzee!!!
 
Warusi wanamkubali Putin kwa kuipambania Russia..

Wananchi wa Ukraine ndio wanalalamika Zelensky kuwaletea hio vita, hata wengine kukataa kujiunga jeshini na kupelekwa jeshini kwa lazima...
Wewe unazungumza kama umefika pande zote 2
 
kwamba ulaya ipo tayari kuingia vita na Nuclear superpower?wewe na ulaya kama nafikiria hivyo wote hamna akili.
Sawa jini-ass!
Kwani Marekani sio nuclear superpower!?
Maana naona Iran anapigana nae bila uoga!
 
Why only two killed?
That number is very low.
 
Putin alikurupuka kuanzisha hii vita.

Utawala wa Marekani ukibadilika kabla ya hii vita kumalizika huenda muda usiwe upande wa Putin.

Kichuguu T14 Armata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…