Upo sahihiKatiba yetu mbovu mno kwa mujibu wa katiba yetu Rais ni kama Mungu mtu ndo maana Wanafanya wanachojiskia
HAWEZI, vivyo hivyo tume yake ya uchaguzi haiwezi kumtangaza mpinzani kuwa mshindi wa kiti cha urais.Je, Katiba yetu inaruhusu Rais aliyepo kupeleka mswada Bungeni na kuliomba Bunge kuondoa kinga ya Rais ya kutokushtakiwa ili Rais afikishwe Mahakamani kwa makosa yake na mwishowe kuhukumiwa?
Najua Rais anaweza kumwondolea ulinzi Rais, niliona Kenya, vipi kuhusu kushtakiwa?
Hii ni ngumu kumeza! Ni sawa na kukata tawi la mti ulilosimamia. Unamkumbuka rais wa Zambia aliyemrithi Kaunda alitunga Sheria ya kumshtaki rais na akamshtaki kweli mwishoni Sheria Ile ilikuja kumfunga mwenyewe!Je, Katiba yetu inaruhusu Rais aliyepo kupeleka mswada Bungeni na kuliomba Bunge kuondoa kinga ya Rais ya kutokushtakiwa ili Rais afikishwe Mahakamani kwa makosa yake na mwishowe kuhukumiwa?
Najua Rais anaweza kumwondolea ulinzi Rais, niliona Kenya, vipi kuhusu kushtakiwa?