Jamani wadau naomba msaada wenu kuhusu huu uvumi wa Rais kutakakuvunja bunge.Je anauwezo wa kikatiba wa kufanya hivyo wakati wote wamechaguliwa na wananchi? na anaweza kufanya hivyo bila yeye kupoteza nafasi yake?

Hayo yote yanawezekana kwa mujibu wa katiba ya sasa. Pia Bunge linaweza kumshitaki Rais ndani ya Bunge na kumvua Urais wake na wabunge wakaendela kupeta.