Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu.

Chanzo: Media zote Tanzania

"Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo ya Watanzania wote bali imejumuisha hadi wale wasio Watanzania na idadi Kamili ya Watanzania itatolewa Mwezi Machi mwakani 2023" Mtakwimu Mkuu Dk. Albinus Chuwa.

Chanzo: Radio One Nipashe Asubuhi hii

Nitarejea tena baadae ila Kazi ipo!!
 
Back
Top Bottom