Sheikh Hasina ni Rais wa Bangadesh anayewania kipindi cha nne madarakani huko Bangaladesh. Sheikh Hasina ni mwanamama hodari, mtata kwa wapinzani wake na anayependwa wananchi wa chini.
Mama huyu anaongoza kwa mkono wa chuma, amefunga jela wapinzani wake wote kiasi cha waliobaki kususia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 07.01.2024.
Najiuliza Je Mama Samia 2024/2025 hatakuwa Sheikh Hasina wa Tanzania?
🤣🤣🤣usimpambe bana
Mama uwezo mdogo,trust me
Afu ashazeeka hata kumbukumbu kutunza vizuri,ubongo wake wa 0.5G hauwezi
Apumzike,alee wajukuu, wazanziberi na shule na uongozi wapi na wapi?
Ashaflop,atakuwa kama Mugabe,kufia kitini🙏🙏🙏🙏