Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Habari wadau.

Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
 
Habari wadau.

Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
Labda kama wametokana na muunganiko ataweza kuwateua, kuwawajibisha au kuwatumbua.
Lakini kifupi tu ujue kuwa Zanzibar ni nchi kamili yenye serikali yake! Rais wao ana mamlaka kamili kuteua, kuwajibisha na kutumbua waliotokana na Katiba ya Zanzibar!
 
Hayo n majukumu ya rais wa Zanzibar na sio majukumu ya rais wa Tanzania, labla kama hiyo Ishu ihusu Muungano
 
Habari wadau.

Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
Nyie watu sijui huwa mnatokea wapi!?..kuna smz na kuna sjmt
 
Back
Top Bottom