MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Oct 9, 2024 #1 Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
M MAMDALI JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 221 Reaction score 439 Oct 9, 2024 #2 Pole na majukumu Mkuu. Mimi nadhani tuendelee kujikita kwenye ushabiki mpira 🤣
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Oct 9, 2024 #3 MKATA KIU said: Habari wadau. Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar Click to expand... Labda kama wametokana na muunganiko ataweza kuwateua, kuwawajibisha au kuwatumbua. Lakini kifupi tu ujue kuwa Zanzibar ni nchi kamili yenye serikali yake! Rais wao ana mamlaka kamili kuteua, kuwajibisha na kutumbua waliotokana na Katiba ya Zanzibar!
MKATA KIU said: Habari wadau. Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar Click to expand... Labda kama wametokana na muunganiko ataweza kuwateua, kuwawajibisha au kuwatumbua. Lakini kifupi tu ujue kuwa Zanzibar ni nchi kamili yenye serikali yake! Rais wao ana mamlaka kamili kuteua, kuwajibisha na kutumbua waliotokana na Katiba ya Zanzibar!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Oct 9, 2024 #4 Hayo n majukumu ya rais wa Zanzibar na sio majukumu ya rais wa Tanzania, labla kama hiyo Ishu ihusu Muungano
Hayo n majukumu ya rais wa Zanzibar na sio majukumu ya rais wa Tanzania, labla kama hiyo Ishu ihusu Muungano
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Oct 10, 2024 #5 MKATA KIU said: Habari wadau. Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar Click to expand... Nyie watu sijui huwa mnatokea wapi!?..kuna smz na kuna sjmt
MKATA KIU said: Habari wadau. Naomba kujua power ya rais wa jamhuri ya muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar Click to expand... Nyie watu sijui huwa mnatokea wapi!?..kuna smz na kuna sjmt
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Oct 10, 2024 #6 Hawezi. Ile ni nchi nyingine