Binafsi sioni sababu za Zelensky kuendelea kuishukuru Marekani, wakati amefanya hivyo mara nyingi. Tena kipindi hiki Ukraine yuko kwenye wakati mgumu sana, kwa kuzingatia kwamba:
1. Trump ameweka wazi kwa zelensky kuwa hawawezi kuungana na NATO.
2. Trump na watu wake wameweka wazi kama kuna international peacekeeping force in ukraine American solder hawatashiriki
3. Bado wana sisitiza Ukraine must hold new presidential election kabla makubaliano ya amani hayajaanza
4. Uhusiano kati ya US na Russia umeanzishwa rasmi baada katibu wa ikulu and waziri wa mambo ya nje kukutana Saudi arabia
5. Trump ana taka Russia wajoin G7
6. US wali vote NO kwenye UN resolution ambayo waliilaani Russia kuivamia Ukraine