msaada tutani naandika report yangu je raisi mkapa na kikwete wameshawahi kupitisha adhabu ya mtu anyongwe hadi kufa, report na case za kunyongwa hadi kufa zipo je zimekua executed, as president ndo mwenye last say.....
Mkuu hiki unachouliza labda upate mtu wa magerewa anaweza kukusaidia, maana hapa kwetu sheria zinatungwa ilhali wanajua utekelezaji ni mgumu then wanabaki kuyafanya mambo 'classified'. Wenzetu wa marekani wanafanya wazi tu, sasa kama sisi sheria imekuwa haitekelezeki si bora kuifuta au kuifanyia marekebisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.