Mkuu hiki unachouliza labda upate mtu wa magerewa anaweza kukusaidia, maana hapa kwetu sheria zinatungwa ilhali wanajua utekelezaji ni mgumu then wanabaki kuyafanya mambo 'classified'. Wenzetu wa marekani wanafanya wazi tu, sasa kama sisi sheria imekuwa haitekelezeki si bora kuifuta au kuifanyia marekebisho.