Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Mambo yanaenda kasi sana jamani.
Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram.
Hawanaishia tu kitofatiliana bali pia kila mtu kafuta pucha zote za mwenzake kwenye page yake.
Sasa itakuaje?