Je, Rayvanny na Paula wamwagana?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mambo yanaenda kasi sana jamani.

Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram.

Hawanaishia tu kitofatiliana bali pia kila mtu kafuta pucha zote za mwenzake kwenye page yake.

Sasa itakuaje?

Sisi ndugu zake Rayvanny hatujamkubari huyo Paula wenu kwanza vanny ana mchumba wake wa utotoni anaitwa atupele YUKO huku mwakareli aje amchukue aachane na hao wandengereko wa Dar[emoji849]
 
Nakumbuka niko nasoma na Paula o level asee Paula hana maajabu kwa kitanda nazani hajajilekebisha ila nashukuru nilikuwa wa kwanza wake mpaka kesho anataka turudie gem ila silagi vipolo
 
Mmhhh
 
Au kampata Eltugrul [emoji18]
 
Nakumbuka niko nasoma na Paula o level asee Paula hana maajabu kwa kitanda nazani hajajilekebisha ila nashukuru nilikuwa wa kwanza wake mpaka kesho anataka turudie gem ila silagi vipolo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi ndugu zake Rayvanny hatujamkubari huyo Paula wenu kwanza vanny ana mchumba wake wa utotoni anaitwa atupele YUKO huku mwakareli aje amchukue aachane na hao wandengereko wa Dar[emoji849]
Kwani alibadili jina kutoka ATUPELYE hadi Atupele?
 
Hao hawaachani Mama yake Paula anaangaika kwa waganga wasiachane Mpaka mwanae amalize kusomeshwa
 
Mapenzi ya utotoni hayo.. Sasa wanaanza kupata ladha nyingine tofauti.. Love envy n cheating..!
 
Hao hawaachani Mama yake Paula anaangaika kwa waganga wasiachane Mpaka mwanae amalize kusomeshwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…