Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi .
Je serikali bado inaendelea kutisha watu?
Na je Maharagande akithibitisha kweli watu wameuwawa, wamebakwa, na akaleta ushahidi serikali ipo teyari kuwashughulikia waliofanya unyama huo?