Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Why?, soul, roho, sio moyo namaanisha pumzi isababishayo uai kwa viumbe hai, tusichanganye na Uwezo wa kiakili, kwani ni vitu tofauti, roho hukupa uhai tu, functions zingine hufanya kazi independently! It's could be roho haina akili bali ndio uhai wenyewe.Hapana!
Mbwa huyu kwa jina la Bryan amekuwa na matendo ya kustaajabisha huko uingereza toka waliokuwa wanafamilia wenza kufariki kwa ajali amekuwa akifika kwenye kaburi kwa miaka miwili mfululizo bila kuchoka na kupumzuka hapo kwa nusu saa na kuondoka zake, je katika ulimwengu wa Kiroho huwa tuna mahusiano ya aina fulani.
View attachment 2459954
Ila sio hawa mbwa wa kwetu tunaowapa ugali mara Moja Kwa sikuMbwa huyu kwa jina la Bryan amekuwa na matendo ya kustaajabisha huko uingereza toka waliokuwa wanafamilia wenza kufariki kwa ajali amekuwa akifika kwenye kaburi kwa miaka miwili mfululizo bila kuchoka na kupumzuka hapo kwa nusu saa na kuondoka zake, je katika ulimwengu wa Kiroho huwa tuna mahusiano ya aina fulani.
View attachment 2459954
Hapa ndipo penye maswali, kwa fikra zangu "roho / soul /pumzi, miongoni mwa viumbe hai ni moja. Hakuna kiumbe hai chochote kitakachokuwa kinacheka wakati roho yake ikitoka. Suffocation ya binadamu ngombe na kiumbe chochote ni moja. Utofauti huwa ni kwamba roho hii iliingia kwa ngombe na roho hii iliingia kwa mwanadamu, ambapo viumbe hawa tofauti zao huwa ni majaliwa ya kiakili.Roho ya ng'ombe na ya mwanadamu ziko sawa?
Ngoja nifungue biblia.Mhu 3:19-21
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia;
anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja;
wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama;
kwa maana yote ni ubatili.
Wote huendea mahali pamoja;
wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Ni nani ajuaye kama roho ya binadamu huenda juu, na kama roho ya mnyama huenda chini?
Sawa, fungua utatuambia.Ngoja nifungue biblia.
Mhu 3:19-21
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia;
anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja;
wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama;
kwa maana yote ni ubatili.
Wote huendea mahali pamoja;
wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Ni nani ajuaye kama roho ya binadamu huenda juu, na kama roho ya mnyama huend
Kabisa mkuu, ingekuwaje endapo dunia ingebaki na uasili wake bila majengo yaani dunia ikiwa na misitu mito vijito N. KUmesahau kua binadamu ni mnyama anayeharibu dunia.......
Hizo baridi zinazoua watu, zisingekuwepoKabisa mkuu, ingekuwaje endapo dunia ingebaki na uasili wake bila majengo yaani dunia ikiwa na misitu mito vijito N. K