Je, sabuni ya kojic inatoa makovu ya chunusi usoni?

Na kama haitoi nitumia sabuni gani
Nawasilisha
Inawezekana inaondoa
Lakini ninavyofahamu mimi ngozi ya mwili wa binadamu inatofautiana kwa kila mtu kulingana na maumbile, inawezekana ikawa ilimsaidia mtu mwingine na wewe isikusaidie kuondoa.
Nakushauri muone mtaalamu wa maswala ya ngozi akushauri bidhaa inayofaa kutumia

Sifa ya ziada ya sabuni hiyo ni imara sana kwenye maji yenye chumvi nyingi
 
Kumbe
 
Back
Top Bottom