Je, Saini za Mababa Askofu 37 zimepuuzwa na serikali au wamezipuuza wao wenyewe?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Kabla sijaendelea, lazima niweke rekodi sawa.
IGA IKO VILEVILE, NA INAENDELEA KUWA VILEVILE.

Pamoja na kauli tamu za serikali kuwa Imezingatia maoni ya wananchi katika mikataba mitatu iliyosaini na DP World ikiwemo wa HGA, lakini ukweli ni kwamba mkataba mama wa IGA uko palepale. Hii inatuonyesha kwba serikali haikuzingatia maoni ya wananchi na imepuuza wananchi, nitaeleza kwa nini.

1. Wananchi hawajawahi kulalamikia HGA, bali wamelalamikia IGA

IGA ndiyo mkataba mama, ni kama kama katiba ilivyo kwa sheria ndogo, hivyo basi kitendo cha kutobadili IGA katika vipengele vilivyolalamikiwa na wananchi maana yake ni kwamba serikali haijasikiliza wananchi hata kidogo. Haijalishi HGAs zimepakwa rangi namna gani lakini kama IGA iko vilevile basi serikali imefanya "Uhuni" katika hili jambo. Na sidhani kama serikali itachomoka ktk hili jambo krahisi ka inavyofikiria

2. Utiaji wa Saini wa mikataba mitatu umegubikwa na usiri kama ilivyokuwa utiaji wa saini wa mkataba wa mwanzo wa IGA

Hili jambo la utiaji wa saini wa mikataba mitatu umefanyika kwa usiri mkubwa, maana yake serikali haikutaka wananchi tujue inakusudia nini katika bandari zetu. Hii inaonyesha wazi kuwa serikali imetia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao, na inawaona wananchi kama kero. Kama kweli serikali ilikuwa na nia njema, na kama ilikusudia kuwashirikisha wananchi, basi isingewaficha kuhusu makusudio yake, au hata mazungumzo yake na kampuni ya DP World kuhusu mikataba hii mitatu iliyosaini juzi.

3. Serikali imewadharaulisha maaskofu 37 kwa kuwafanya waonekane waongo mbele ya umma.

Naamini Kanisa Katoliki halitofumbia macho hili jambo. Naamini kanisa katoliki halitokubali "behind the scene moves" za serikali kuwapoza, au kuwataka waliache hili jambo lipite. Ni bora serikali ingefanya jambo lake yenyewe, lakini kitendo cha kuwashtukiza akina Father Kitima katika shughuli ambayo hawajui ni nini, kililenga kulitumia Kanisa katika move yake ambayo maaskofu 37 wenye heshima waliikataa kwa maslahi ya umma.
Hapa credibility ya Kanisa, na heshima ya Mababa askofu iko wazi. Umma uliliamini Kanisa na kuliheshimu. Kitendo chochote cha Kanisa kucollude behind the scene na jambo ambalo kanisa lilisema halifai , linaharibu heshima ya kanisa na mavaba askofu. Kwa hiyo kama Kanisa halikushitirikishwa bali kustukizwa ni heri lije LIISEME KWELI na KWELI ituweke huru.

Hatari ya kanisa kukalia kimya jbo hili itaweka precedence mbaya huko mbeleni, maana serikali zijazo zitapuuza maonyo mema ya Kanisa "Kihuni" na pia Wananchi watapuuza maonyo hayo. Ni heri kanisa lije liweke rekodi sawa.

4. Kama kweli kuna mabadiliko, Mbona IGA haijapelekwa bungeni ili kufuta ile iliyoridhiwa na bunge?

Kama kweli kungekuwa na mabadiliko ya kweli ya IGA kwenye ishu ya bandari, kwanza bunge lingebatilisha azimio lake la mwanzo na kupitisha azimio jipya, lakini as long as hakuna azimio jipya basi IGA iko vilevile na matatizo yake yako vilevile. Na hii maana yake ni kwamba Akishsondoka Samia, Mpango, Majaliwa, Na viongozi wengine madarakani, wskaja viongozi wengine, nao wakiondoka wakaja viongozi wengine IGA hii inaendelea kuwa vilevile na mapungufu yake yaleyale.

5. Wananchi hatutokubali mkataba huu wa IGA aslani

Serikali inadhani imemaliza hili jambo, la hasha hili jambo halijaisha na halitaisha. Itakuwa ni chanzo, au rallying point ya kupigania rasilimali zetu kwa ujumla wake. Haiwezekani kikundi cha watu wachache wao wadhani wanahodhi busara zote za kuamua mustakbsli wa rasilimali zetu. Hii kitu haitokubalika na haiwezi kupita hivihivi smoothly. Hili dili feki la Bandari ni kilele cha incompetency, negligence, foolishness katika decision making inayochagizwa na mfumo mbovu wa uongozi na utawala. Haya ni mambo ya kuyaweka maanani katika struggle za wananchi kutafuta mfumo bora wa uongozi na utawala.

6. Mwisho kabisa, nitoe wito kwa kanisa katoliki. Hebu likitokeze kulinda Heshima ya maaskofu wetu 37.

Hivi kanisa linawezaje kwa mfano kuliacha hili jambo lipite hivihivi?. Kweli kanisa linataka wananchi huko kwenye mikia, parokia na vigango waseme kuwa maaskofu walikuwa waongo, wasio na weledi, wenye hila, wenye uzandiki ndiyo maana walikataa mkataba hapo awali ila sasa Wamekubali wenyewe ndiyo maana katibu mkuu wa TEC kashiriki utiaji wa saini wa mikataba mitatu wa kubariki dili la bandari lisonge mbele?. I hope Kanisa litatoa ufafanuzi na kulinda heshima ya maaskofu wetu. Hili jambo ni very damaging, I hope kanisa halitoluacha hivihivi.

N.B: Katika mitandao ya jamii kuna nakala ya mwaliko ambayo katibu mkuu wa TEC , Father Kitima alipewa kuhudhurua sherehe Ikulu. Inavyoonekana IKULU kimkakati ilificha shughuli hiyo ni ya nini, na hivyo kumshtukiza Father, na hivyo serikali kuweza kutumia occasion hiyo kuwaaminisha wananchi kuwa Kanisa limebariki suala hilo. Again, Sina uhakika kama Kanisa behind the secene ktk mazungumzo yake na serikali lilikubaliana na serikali na hivyo kutengenezeans mazingira ya "DENIAL PLAUSIBILITY". Lakini hili namwachia Father Kitime aje atoe ufafanuzi, maana heshima ya mababa askofu 37 na Kanisa ipo kikaangoni mbele ya umma kea sasa. Ni hatari sana kwa umma kuja kufikiri mbeleleni kuwa maaskofu siyo watu wa kuaminika!

PICHA YA MWALIKO WA FATHER KITIMA KWENDA IKULU (Hautaji shughuli haswa ni nini)

IMG-20231027-WA0033.jpg
 
View attachment 2794442
Nchi sio ya hao kkatoliki watetezi wa ushoga
 
Kwani maaskofu ndo takataka Gani? Nani kakwambia kwamba serikali Iko anaswerable kwa maaskofu. Mi nachojua maaskofu ndo wako answerable kwa serikali ila kinyume chake haiwezekani, never
 
Mtoa mada huwezi kuichonganisha serekali na maaskofu, wao walitaka mkataba urekebishwe, na serekali imeshahakikisha umerekebishwa, ni sawa na suala la nadhiri, serekali imeweka nadhiri ya kurekebisha mkataba, na imetekeleza nadhiri yake, nadhiri ni kujifunga na mungu juu ya utekelezaji, maaskofu wao ni makuhani wametimiza yao kwa umma, na wamesema na iwe heri kwa timizo la haki, Amen.
TEC, imeshafanya yake imemaliza, imetowa wazo wazo limetekelezwa,.
 
Mtoa mada huwezi kuichonganisha serekali na maaskofu, wao walitaka mkataba urekebishwe, na serekali imeshahakikisha umerekebishwa, ni sawa na suala la nadhiri, serekali imeweka nadhiri ya kurekebisha mkataba, na imetekeleza nadhiri yake, nadhiri ni kujifunga na mungu juu ya utekelezaji, maaskofu wao ni makuhani wametimiza yao kwa umma, na wamesema na iwe heri kwa timizo la haki, Amen.
IGA iko vilevile
 
Back
Top Bottom