Je, Sakata la kitabu cha Erick Kabendera litatoa picha Rais Samia aliishije na Hayati Magufuli?

Je, Sakata la kitabu cha Erick Kabendera litatoa picha Rais Samia aliishije na Hayati Magufuli?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Tusubiri tuone nafasi ya maisha ya unafiki kwa nchi ya Tanzania ipo kwa kiwango gani na nafasi ya Serikali katika kulinda taswira ya nchi.

Ni hayo tu

Pang Fung Mi
 
Hili sakata sio kwamba ni clearence kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu kweli? Maana ni countdown month kuelekea huko mtu anajiimarisha kuwa ni bora. Kitabu kimeachiwa mapema januari haijulikani kama kimepitiwa au hakijapitiwe tayari kipo amazon, hata kikipigwa ban tayari kimeenea. Siasa zina mambo mengi sana ya hovyo mradi tu mtu aonekane ni msafi na mwingine ni mchafu
 
Huwezi kumchafua Magufuli kirahisi hivyo.

Kuulizwa kuhusu PhD ndio mtu akule kichwa?

Kina Mange kimambi walikua wanamtukania mpaka mama ake, hatukusikia hata kama familia yake ilipata tatizo.
 
Back
Top Bottom