Hili sakata sio kwamba ni clearence kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu kweli? Maana ni countdown month kuelekea huko mtu anajiimarisha kuwa ni bora. Kitabu kimeachiwa mapema januari haijulikani kama kimepitiwa au hakijapitiwe tayari kipo amazon, hata kikipigwa ban tayari kimeenea. Siasa zina mambo mengi sana ya hovyo mradi tu mtu aonekane ni msafi na mwingine ni mchafu