Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

Huyu si Rais wala kiongozi wa nchi. Huyu ni kivuli tu lakini command ya uongozi wa nchi inafanywa na watu wengine kabisa...

Lakini tusishangae sana kwa haya kutokea. Kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa kwanza mwanamke na wa mwisho toka CCM kuongoza Tanzania...

Huyu ndiye alama ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
 
Huyu bibi hafai arudi kwao Kibandamaiti.
 
Hii mtakoma tu! Hakuna rais anayeweza vumilia mtu kama Mbowe, anayejiita Mpinzani mkuu, lakini anashindwa kuchagua maneno ya kutumia majukwaani. Hii ni Afrika, hii ni TZ. Ukijifanya huogopi utaonyeshwa woga ulipo.

Watu walianza kumsifu Samia iwe kama rushwa kwake, ajikombe kwao. Sasa kibano kimekuja naona zinatungwa hadithi za kumtia woga.
 
Mkuu wa majeshi siku ile ya mazishi ya JPM akasema rais ataitwa amiri jeshi mkuu badala ya amirat, mama akawa anachekea chini kama vile amepigwa dongo lakini ile kauli ni ujumbe kwamba bado kivuli cha JPM bado hakikwepeki ikiwa jeshi lipo chini ya uongozi wa sasa.

Mama kuna watu ambao hawezi kukwepa ushawishi wao, JK, Mume wake na mkuu wa majeshi. Kwa hao watatu hapindui iwapo watampa ushauri wa kina.
 
Kusema rais wa mwisho mwanamke naweza kukubaliana na wewe lakini sioni namna ambavyo CCM inaweza kushindwa kuendelea kuongoza kwa miaka mingi ijayo.

Siuoni uongozi mbadala kutoka kwa wanasiasa wa upinzani hata kama katiba itabadilishwa na siasa zitakuwa tofauti na hizi za sasa.
 
Mama ana maumbile ya kike lakini ndio kiongozi wa nchi kwa sasa. Kauli yake ni agizo kwa mamlaka husika.
 
Aisee huu ujumbe wa Aya ya chini umekua ukiurudia mara nyingi.
Nakufuatila Sana,watu kama nyie sio wa kubeza hupenda umeona mbele.
Huu Ni utabiri rasmi.
 

Sina namna ya kukusaidia ili uone CCM itakapolazwa chini kuashiria mwisho wa utawala wa siasa za kiCCM...

Wewe uko Kundi la kuona kisha ndipo uamini. Sikulaumu. Subiri uone, kisha ndipo uamini....

Wenzako sisi tumeshaona kwa njia ya kuamini kwa kutazama hali halisi na mazingira yenye viashiria vyote vya kifo cha CCM...

Tutaonana huko mbeleni ukibaikiwa kufika...
 
Hujui lolote ndugu.
Ningekuambia mengi lakini siwezi kumwaga mtama.

Magufuli kafa na kila kitu chake kimekufa.hana alicho acha,hakua na mtandao wala hicho unachoita kivuli.
Angekua Ana kivuli asingekufa kizembe vile.
Rais hafi vile bana.
 
Aisee huu ujumbe wa Aya ya chini umekua ukiurudia mara nyingi.
Nakufuatila Sana,watu kama nyie sio wa kubeza hupenda umeona mbele.
Huu Ni utabiri rasmi.

Hiyo ndiyo hali halisi...

Shetani kwa sasa ana hasira sana. Anajua mwisho wake u karibu, in fact umeshafika...

Hawezi kukubali kuondoka peke yake. Atahukumiwa sawiwa, lakini lazima aumize na kudhalilisha baadhi ya watu...

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Yesu Kristo akiendesha harakati zake za kuukomboa ulimwengu toka mikononi mwa ibilisi...

Mawakala wa ibilisi/shetani walikuwa ni watawala wa kisiasa na serikali. Walielewa kabisa kuwa, huyu bwana (Yesu Kristo) alikuwa ankwenda kuwaangusha wao na utawala wao. Hawakukubali wafe peke yao. Walitaka wafe nae. Wakasuka mipango ya kumuua kwa kutunga makosa ya uongo yq ugaidi na uhaini. Wakafanikiwa. Wakamuhukumu kifo. Lakini hawakujua kuwa kwa njia ya kifo chake walichokitengeneza mwenyewe, ndiyo ukombozi na ushindi ungepatikana...

Ndivyo ilivyo leo

Kuwa, serikali hii iliyokuwa chini ya Mwendazake John P. Magufuli na sasa kampasia mpira huyu mwanamke na chama kinachoingoza (CCM) ni purely wakala (agent) na alama halisi ya shetani na kinajua kinakwenda kupotea...
 
Ila Mabeyo si ndio alisaidia kumiweka hapo. Pia, unataka sema hao wakuu wa vyombo bya usalama ndio wanaendesha nchi? Hamna anaewaamuru nyuma yao? Kwanini Samia asiachie ngazi kama yamemshinda?

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…