Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Wasalaam,
Nimekuwa nikitafakari jinsi watanzania walio wengi walivyokuwa na hamu ya kumuona Rais Obama na hata kuna ambao wangependa wapige naye picha ili iwe ya ukumbusho maishani mwao.Achilia mbali wale ambao walikuwa wanatamani tu kuangalia msafara wake na hasa gari lake.
Je,wewe ungeruhusiwa kumpa mkono Rais Obama na ukapewa sekunde 50 uongee naye ungemwambia nini?
(kuhusu nchi yako/ maisha yako)