Je sera ya Elimu ya Tz ipoje?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Je kuna mtu aliyeisoma sera ya Elimu ya Tz? Je amesoma nini? Tukiwa kijiweni, kuna stori kwamba Tanzania haina sera ya Elimu, je ni kweli? Wasomi na wanaharakati wanahaha kutafuta 'mwarobaini' juu la kuporomoka kwa Elimu, lakini, sijawahi kusikia hata mmoja akisema mapungufu ya sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…