Je, Serikali ilikurupuka zuio la mahindi nje ya nchi?

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Ndugu wajasiriamali,

Kama mnavoona hali ya chakula nchini ikiwa vizuri kabisa. Cha kustabisha wafanyabiashara ya mahindi namba zinasomeka kwelikweli saivi kilo kuanzia 400 /=

Tatizo linakuja mtu ulinunua kwa sh 650 au 700, hatari tupu jamani, Serikali msije mkarudia tena hii kitu wengine mahindi ndio korosho zetu.Saivi mvua inanyesha kisawasawa kiasi kwamba February mwanzoni watu wanaanza kuneemeka.

Ni hayo tu

@Darubinisaid​
 
Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…