Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

Huyo kaka yako alishakusanya za kubrashia viatu enzi zake, kwa hiyo asituletee jam tuajiri hata vijana....
 
Tafuteni njia mbadala za kujiingizia vipato vyenu waajiriwa wa kitanzania huko Serikalini,siku zote mshahara hautoshi
 
Police hata wasipopewa mi sioni kosa la serikali sabu wananch wanapodai katiba wao hutumika kuwatesa wananchi
 
polisi asipewe hiyo pension, akawizwe miaka 13 ili walioko kazini washike adabu ya kutopiga wanaodai katiba.
 

Hata huyu analipa Kwan amevuka tarehe?si mwisho wa mwez bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…