inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Nahisi wanafanyia maintenance. Kuwa na Uvumilivu mkuu.Wadau salam.
Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali.
Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
Kwani wewe mchawi ni civil servant?Mazonge tupu