Je, serikali ina mpango gani na watu ambao wamenufaika na ufadhilii wa kusoma nje ya nchi?

Je, serikali ina mpango gani na watu ambao wamenufaika na ufadhilii wa kusoma nje ya nchi?

nchammitta

New Member
Joined
May 5, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari za leo watanzania wenzangu. Mimi ninaomba kuuliza kitu kuhusu ufadhilii serikali inaoutoa nje ya nchi. SerikImekuwa ikitoa ufafhili ambayo mimi naweza kusema ni wa kisiasa zaidi na hauna malengo madhubuti kwani baada ya hao waliofadhiliwa kurejea nchini baada ya kuhitimu masomo wanaanza tu kusota kutafuta kazi na wengi wao wanaishia kutopata kazi na hata kujiingiza kwenye makundi hatarishi katika jamii.

Je serikali ina mpango gani sasa na hawa watu ambao wamenufaika na huu ufadhilii na hawana mwelekeo au inapanga tu kuendelea na ufadhilii bila kujali huyo mtu anakuwa wapi baada ya masomo yake???
 
Back
Top Bottom