Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 166
- 124
Wajasilia mali = wajasiriamali, kwanzia = kuanzia. Achana na kuwaza mikopo ambayo itakufanya ulipe bei hata mara tatu ya bei ya kawaida sokoni. Jipinde ujiagizie trekta lako mwenyewe.Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo,ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea.
Natumai ili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili kutolifanya kibinafsi zaidi. Nikiwa na maana kuacha siasa kutumika ili malengo na nia ya dhati katika kufanikisha swala hili.
Shukrani kwa kunirekebisha mkuu,kikubwa dhumuni langu lifike na ninashukuru kwa kunihamasisha katika kujipanga ili ninunue la kwangu.Wajasilia mali = wajasiriamali, kwanzia = kuanzia. Achana na kuwaza mikopo ambayo itakufanya ulipe bei hata mara tatu ya bei ya kawaida sokoni. Jipinde ujiagizie trekta lako mwenyewe.
Mkuu kaa chini piga hesabu zako vizuri. Kama mkopo ndo rahisi kwako chukua. Ila kwa uzoefu wangu ni kwamba kama unaanza usichukue kabisa mkopo. Anza na kilicho ndani ya uwezo. Bora hata baadae ukaja kukopa hela ukaongezea na ulicho nacho kisha ukanunua trekta kuliko kuchukua trekta la mkopo kwa bei mara 2 zaidi.Shukrani kwa kunirekebisha mkuu,kikubwa dhumuni langu lifike na ninashukuru kwa kuniamasisha katika kujipanga ili ninunue la kwangu.
Mkuu changamoto inakuja uwezo tunatofautiana na vyanzo vya mapato pia tunatofautiana. Kuna wengine wanapata fursa nyingi kwasababu baba,mama ama mjomba wapo na nafasi nzuri serikalini. Tofauti na mimi nitoke niende shambani nikatafute chochote kile ili familia ipate chochote kitu. Tena shambani kwenyewe itanibidi iwe msimu hadi msimu.
Tractor zinaanzia kwanzia million 35 na kuendelea,je unahisi kwa mtu wa hali yangu ya chini naweza kumudu hizi gharama mkuu? Lakini ukihitaji tractor nzuri Zaid zipo bei imechangamka kidogo 46....50 na kuendelea.
Ila kama kunakuwa na uwezekano wa kutoa mikopo kama ile ya mikopo ya boda boda na bajaji zinavyotolewa inaweza kuwa msaada kwa watu wengi sana.
Mkuu tupe utaratibu wa bank ya kilimo umekaje,bila kuacha masharti ya mikopo yao. Shukrani.Mumefutiwa Kodi zote za Kuagiza ,mkopo nenda efta au Benki ya Kilimo TADB
Nenda bank ,Mimi nikupe? Ujamaa umewaharibi sana nyie Kila kitu mnataka mtafuniwe
Mkuu tupe utaratibu wa bank ya kilimo umekaje,bila kuacha masharti ya mikopo yao. Shukrani.
Mbona kama umepaniki mkuu,tupo hapa ili kuelimishana. Ndiyo maana nikakuomba kama unauelewa kuhusiana na mikopo ya kilimo,ni heri ungetupa elimu kwanza hapa ili kupa elimu kwanza kabla ya kusogelea taasisi yenyewe kwanza. Kwani si unakumbuka ule usemi ukitaka kuruka agana na nyonga kwanza.Nenda bank ,Mimi nikupe? Ujamaa umewaharibi sana nyie Kila kitu mnataka mtafuniwe
Usumbufu usio na Tija Huwa sitakiMbona kama umepaniki mkuu,tupo hapa ili kuelimishana. Ndiyo maana nikakuomba kama unauelewa kuhusiana na mikopo ya kilimo,ni heri ungetupa elimu kwanza hapa ili kupa elimu kwanza kabla ya kusogelea taasisi yenyewe kwanza. Kwani si unakumbuka ule usemi ukitaka kuruka agana na nyonga kwanza.
Asante mkuu,ubarikiwe. Samahani kwa usumbufu.Usumbufu usio na Tija Huwa sitaki
Itachukua miaka mingi sana.Wajasilia mali = wajasiriamali, kwanzia = kuanzia. Achana na kuwaza mikopo ambayo itakufanya ulipe bei hata mara tatu ya bei ya kawaida sokoni. Jipinde ujiagizie trekta lako mwenyewe.
Sio kwa Tanzania hii ndugu. Hela za huo mfuko zitaliwa tu na wachache. Yaani hakuna namna yoyote itakayofanya zisiliwe.Itachukua miaka mingi sana.
Tungekuwa na akili tungeanzisha mfuko wa kata ili kujichanga na kupata trekta la kata ambalo litalima kwa bei nafuu au kwa mkopo nsimu wa mavuno mkulima analipa gharama ambapo hio hela inaendeleza kununua matrekta mengine.
Baada ya muda wakulima wanaweza kuja kuwa na uwezo wa kununua matrekta yao binafsi .
Kipindi cha kikwete zilitolewa kubota siijui mradi uliishia wapi!
Vile vile tusisahau kuwa kipindi cha nyuma zilikuwepo trekta za kijiji ila wajanja walifilisi.
Kwa hio wakulima watabaki masikini milele. Basi wajiunge hata 10 kwa kikundi wanunue power tila.Sio kwa Tanzania hii ndugu. Hela za huo mfuko zitaliwa tu na wachache. Yaani hakuna namna yoyote itakayofanya zisiliwe.
Zile tractor nazi kumbuka mkuu. Kiukweli sela ya nchi na chama ni kilimo lakini vitendo na maneno ni tofauti,ama laa njia moja wapo ya wauni wachache kupiga deal.Itachukua miaka mingi sana.
Tungekuwa na akili tungeanzisha mfuko wa kata ili kujichanga na kupata trekta la kata ambalo litalima kwa bei nafuu au kwa mkopo nsimu wa mavuno mkulima analipa gharama ambapo hio hela inaendeleza kununua matrekta mengine.
Baada ya muda wakulima wanaweza kuja kuwa na uwezo wa kununua matrekta yao binafsi .
Kipindi cha kikwete zilitolewa kubota siijui mradi uliishia wapi!
Vile vile tusisahau kuwa kipindi cha nyuma zilikuwepo trekta za kijiji ila wajanja walifilisi.
Zile tractor nazi kumbuka mkuu. Kiukweli sela ya nchi na chama ni kilimo lakini vitendo na maneno ni tofauti,ama laa njia moja wapo ya wauni wachache kupiga deal.